Zikiwepo taarifa nyingi kutoka maeneo mbalimbali kuwa mkali na moja kati ya waanzilishi na waongozaji wa mtindo wa SOUKOUSS katika jamhuri ya kidemokrasia ya batu ba kongo,pichani kushoto na kulia,ana hali mbaya kiafya,habari za sasa ni kuwa anaendelea vizuri baada ya ugonjwa uliokuwa ukimsumbua wa kansa ya koo kupata ahueni..jamaa baada ya kusizi kimuziki kwa sasa anajipanga kurudi upyaa katika fani na sijajua bado kama ataweza kucheza kwa ustadi mkubwa aliokuwa nao kabla,na kuimba kwa sauti nzuri na uwezo wa kutunga nyimbo...wote tunatarajia ujio mwema wa jamaa huyu na tunamtakia mafanikio mema na aweze pengine kuuokoa muziki wa bakongo ambao kwa sasa unaonekana kushuka kwa kiwango cha ajabu..kwa sasa kizazi cha ferre gola na fally ipupa wankaba ipasavyo,je atapata nafasi?