Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya
CNOOC kutoka Nchini China Cui Hanyun wakati alipofika Ikulu mjini
Zanzibar leo na ujumbe aliofuatana nao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya China National
Offshore Oil Company ltd (CNOOC) ulifoka Ikulu Mjini Zanzibar kuonana
na Rais, ugeni huo ukiongozwa na Balozi wa China nchini Tanzania Xie
Yunliang (wa pili kulia) na Makamo Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya
(CNOOC) Cui Hanyun (katikati) wengine ni viongozi wa juu wa kampuni
hiyo.