Meli ya royal iliyokuwa ikitokea Unguja
kuelekea Pemba leo imeungua, kwa Bahati Meli ya Serengeti iliyokuwa
inatokea Pemba kwenda unguja ikaikuta njiani hivyo shughuli za uzimaji
moto na uokozi Wa abiria na Mali zao ikafanyika.
Taarifa zinasema kuwa zaidi ya abiria
300 kutokea Unguja kuelekea Pemba wamenusurika kifo baada boti waliokuwa
wakisafiria kuwaka moto chumba cha injini.
Baadhi ya abiria wakiwa katika harakati za kujiokoa.

Sehemu ya Meli hiyo ikiwa imeungua.