Mshambuliaji Javier Harnandez (Chicharito) alionekana hafai kwa kocha Louis van
Gaal, ameonesha yuko sawa kwa kutupia mabao matatu au hat trick wakati
timu yake ya Bayer Leverkusen ikishinda 5-0 dhidi ya Borussia
Monchegladbach ya mechi ya Bundesliga.
Borussia Monchegladbach ndiyo wale walioifunga Bayern Munich baada ya kuitwanga kwa mabao 3-1, lakini sasa nao wamepata mbabe.
Wakati
Harnandez maarufu kama Chicharito akipiga bao hizo tatu, Manchester
United ilikuwa ‘inachezea’ kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa kibonde
Bournemouth katika Premier League.
Bayer Leverkusen:
Leno,
Hilbert (Donati 45), Tah, Toprak, Nascimento Borges, Bellarabi, Kramer,
Kampl (Frey 87), 10 Calhanoglu, Hernandez (Mehmedi 79), Kiessling.
Subs not used: Ramalho, Papadopoulos, Kresic, Yurchenko.
Goals: Kiessling 30 and 66, Hernandez 63, 75, 76
Borussia M'gladbach:
Sommer,
Jantschke, (Elvedi 45), Christensen, Nordtveit, Korb, Dahoud (Schulz
81), Xhaka, Wendt, Traore (Raffael 45), Stindl, Drmic.
Subs not used: Brouwers, Hazard, Sippel, Hrgota.
Booked: Jantschke, Korb
Ref: Tobias Stieler
Att: 30,210
Wachezaji wa timu ya Bayer Leverkusen wakipongezana
Chicharito