Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu
Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri
alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika
kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar
es salaam Desemba 15,2015. (Picha kwa niaba Ofisi ya Waziri Mkuu)