Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana
na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda
nyumbani kwa mstaafu huyo Oysterbay jijini Dar es salaam kumtembelea,
Desemba 16, 2015.

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu,
Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo
Oysterbay.