
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Ajira Vijana na
Walemavu Mhe Jenista Mhagama amewacharukia waajiri wasiotaka kufuata
sheria za ajira nchini kwa kuajiri raia ambao sio watanzania bila
kufuata utaratibu,huku akisema wazi waajiri wote waliokiuka taratibu
hizo anawapa wiki mbili kuhakikisha wanawafuta kazi waajiri hao au
kushughulikia vibali vyao vya kazi