VANNY AFRICA ENTERPRISES COMPANY LTD ni
company inayojishughulisha na shughuli za ujasiliamali! Ni company
inayotoa pia mafunzo ya ujasiliamali na usimamiz wa biashara!
Vanny africa pia tuna bidhaa zetu tunazozizalisha na kuzisambaza kwenye supermarkets mbali mbali, bidhaa tulizonazo ni
Vanny africa tomato sauce, vanny africa sunflower oil, vanny africa
spices Tea masala, pilau masala, chicken masala! Beef masala,
Nutritional flour, Peanut Butter, pia tunazalisha Unga wa ugali tuna
vanny africa super sembe, dona, pia tuna unga wa dona uliochanganywa na
mtama na muhogo!
Pia VANNY AFRICA tunajidhugulisha na utengenezaj wa sabuni za maji na
sabun za kipande yaan Bar soap! Sabun za maji tulizonazo ni
Sabuni
za kusafishia vyoo (disinfectant soap) sabun za kunawia mikono
(handwash), Sabuni za kusafishia maru maru (tiles cleaner), sabun za
kusafishia vyombo (dishwasher) na sabuni za kusafishia vioo madirishani.
Pia
VANNY AFRICA ENTERPRISES COMPANY LTD
tunatoa mafunzo ya ujasiliamali mikoa yote tanzania pale tunapokuwa
tumeitwa kutoa mafunzo! Tunatoa mafunzo kwenye vikundi mbal mbali!
Mafunzo tunayoa ni utengenezaj wa batiki, utengenezaj wa sabuni aina zote, utengenezaj wa bites, jinsi ya kutengeneza
Peanut Butter, jinsi ya kutengeneza tomato sauce, kutengeneza
mishumaa, jinsi ya kuandaa lishe ya watoto, tomato paste, mango pickle,
chill sauce, na jinsi ya kupika vitafunwa vya aina mbali mbali.
Pia tunatoa mafunzo ya kilimo bora na cha kisasa cha matikiti na vitunguu swaumu na vituu maji.
Lakini vile vile Tunatoa wito kwa vikundi mbali mbali vya wanawake
kuchangamkia fursa zilizopo hata kwa wale watu wanaoshinda maofisin
unaweza kujifunza na ukawa unajiongea kipato mbali na mshahara.
Tunatoa mafunzo ya kwa bei ndogo kabisa ili kuhamasisha watu kujifunza ujasiliamali!
Wanapatikana DAR ES SALAAM, mlimani city karibu na NSSF
Au unawezakuwasiliana nao simu kwa no +255784529210 au tumia E: mail
hii vannyafrica@gmail.com
Wote wenye kiu ya mafanikio mnakaribishwa..!!!!!!!!!