
Huyu braza kaka ni Mdau mkubwa wa Mashetani wekundu a.k.a Man U anakwenda kwa jina la Issa Ndokeji a.k.a Bobo dread akila pozi na bonge la duu, Hapa anaonesha yuko na furaha iliyopitiliza. Je! wewe mdau wa blogu hii unaweza ukaninong'oneza braza alikuwa akiideki gemu gani?
Ameniomba msaada juu ya reli nikufahamishe mdau kwamba yeye anapatikana katika
web hii:-
www.ndokeji.blogspot.com