Huyu mwanadafada ni presenter MKALI kiukweli katika kituo cha redio moja maarufu sana zanzibar. Ukilitaja jina la lady kiss au Rehema Nyamaka sio jina geni kabisa kwa wakazi wa zanzibar kutokana na umahiri wake wa kuchezea maiki na stail yake, lakini pia pekee ametokea kuwadatisha wasikilizaji wa zanzibar vilivyo.
mwanadada huyu kiukweli ni mkali ile mbaya na hilo halina ubishi
Eeebwana eeeeh kep it up...!!!!!