Kama kawa kaka yenu huwa ninapenda sana kujichanganya na washikaji mbali mbali, hapo juu nikiwa nimekula pozi na washikaji wa kituo kimoja cha matangazo
mjini zanzibar cha Chuchu fm. Hapo mzee nimekula pozi la kipekee na shati langu jeusi.
Mshikaji mwenye shati jeupe yeye anaitwa Bobo Dread, naye pia mtangazaji kituo cha redio cha chuchu fm katika kisiwa cha Zanzibar hapo akishoo love na mimi kaka yenu. Duh.! Ebana kumbe na mimi niko na pozi kali la kugongea 'snepu'.