
Mimi nilifikiri ni vijana tu ndio wapo bize na
facebook a.k.a uso wa kitabu lakini kumbe ni tofauti kabisa. Hebu cheki hao mabibi a.k.a ma sister du wa long time nao wanachati kupitia facebook.
Hebu niambie utajisikia raha kiasi gani na wewe ukimkuta bibi yako anachati na marafiki zake kupitia facebook?