
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini
wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini
Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani.

Rais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini wakati wa
mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt JAkaya Kkikwete, Marehemu Tausi
Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani.

Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini
wakati wa mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kkikwete,
Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa
wa Pwani.

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali
Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua
wakati wa wa mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete,
Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa
wa Pwani.

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu kt Jakaya
Mrisho Kikwete wakiondoka makaburini baada ya mazishi ya dada yake Rais
Mstaafu Dkt JAkaya Kikwete, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini
Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani
.