Huyu mtu anitwa Caster Semanya, ni raia wa Afrika ya kusini. Kuna bonge la saga limezuka juu kwamba ana jinsia ya kiume hali inayopelekea kusumbua vichwa vya watu wengi kwa sasa hapa duniani.
Hebu tazama hiyo picha hapa ni baada ya kujinyakulia zawadi yake. halafu jibu baki nalo wewe mwenyewe.