Kwa umakini zaidi mtazame Mwisho Mwampamba hapo juu, halafu tena tupia jicho lako jingine kwa Meryl. Je! umehisi kitu chochote au bado.? Braza kama kweli utamuoa huyo binti na kutulia mie nawatakia life njema. Imenilazimu kusema hivyo kwa sababu shemeji yetu ana wivu huyo.!!!